Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, November 16, 2012

KINANA ARIPOTI KAZINI, OFISI ZA LUMUMBA DAR...!


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam, aliporipoti rasmi kazini kwenye ofisi hizo leo asubuhi.


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, aliporipoti leo ofisini, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment