Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, December 11, 2012

FUNGA MWAKA X-MAS CONCERT ARUSHA DECEMBER 22 -LIVE JUMA NATURE, DOGO JANJA, AMAZON, MO PLUS, MECCA CHEKA,VL MAJEMBE KATIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID...!


AKIZUNGUMZA KUTOKA JIJINI ARUSHA C.E.O WA MAMBO JAMBO RADIO MR JULIUS MAKIRI AMESEMA MAANDALIZI YOTE YAMEISHA KAMIRIKA NA MJ FM WAKO TAYARI KUWALETEA BURUDANI HII LIVE KUPITIA 93.0 MJ FM ARUSHA NA ONLINE @ WWW.MAMBOJAMBORADIO.COM,BAADA YA KUWAPAGAWISHA WAKAZI WA ARUSHA NA SUMMER JAM CONCERT SASA MAMBO JAMBO RADIO WANARUDI TENA NA FUNGA MWAKA -X-MAS CONCERT AMBAYO KWA MARA YA KWANZA KABISA ILE KAMPUNI MAARUFU YA BURUDANI KUTOKA MAREKANI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS INAHUSIKA WAKISHIRIKIANA NA NORTHERN ZONE ENT YENYE MAKAO MAKUU JIJINI ARUSHA,AKIZUNGUMZA KUTOKA WASHINGTON,MKURUGENZI WA MAKAMPUNI HAYO YA DMK GLOBAL & NORTHERNZONE ENT MR DICKSON alias "DMK" AMETHIBITISHA KUWA ATAWASILI JIJINI ARUSHA TAREHE 15 ILI KUSAIDIA KATIKA KUFANYA MAANDALIZI YA MWISHO,AMESEMA WASANII KIBAO KUTOKA ARUSHA WATABURUDISHA WAKISHIRIKIANA NA JUMA NATURE,DOGO JANJARO NA AMAZON,TEGEMEA SHOW TOFAUTI YA AINA YAKE HIVYO AMEWAOMBA WAKAZI WA ARUSHA,MOSHI,SINGIDA,BABATIMWANGA,SAME,MONDULI PAMOJA NA VITONGOJI VYAKE KUSIKILIZA MAMBO JAMBO RADIO KUJISHINDIA ZAWADI MBALI MBALI ZA X-MAS IKIWA NI PAMOJA NA FREE TICKETS ZA CONCERT....ARUSHA MOSHI NA VITONGOJI VYAKE KAZI KWENU KIINGILIO NI SH 4000/= TU .

No comments:

Post a Comment