Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, December 12, 2012

HAPPY BIRTHDAY ROMA MKATOLIKI 12-12-2012...! WELCOME 2030

Tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyoyopita mkali wa Hip pop Tanzania anayefahamika kwa jina la Roma Mkatoliki ambaye anatamba na ngoma zake kama Mtanzania, Pastor, Mathematix, Kidole cha mwisho juu, leo ndio kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 12 mwezi wa 12 miaka kadhaa iliyopita. Na Roma amewaahidi mashabiki wake kwamba leo atatambulisha ngoma yake mpya inayoitwa "2030" na pia ammesema ngoma hii itakua kali kuliko ngoma zake zote ambazo aliwai kuzitoa na pia amesema kwa mara ya kwanza ataizindua ngoma hii nyumbani kwao mkoani Tanga. 
Roma 
Roma

Mtandao huu wa www.kingjofa.blogspot.com unakutakia unapenda kukupa HERI YA KUZALIWA.No comments:

Post a Comment