Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, January 25, 2013

HUYU HAPA MTOTO WA RAISI MWENYE UTAJIRI WA KUTISHA BARANI AFRICA...!

Afrika ina bilionea wake wa kwanza wa kike, Isabel dos Santos, binti wa Rais wa Angola Jose Eduardo dos Santos. Kumbuka ni bilionea katika “dollar,” sio hela za madafu.
Pia Isabel ni mmoja wa mabilionea watatu tu duniani ambao ni wanawake weusi. Wengine wawili ni Oprah, na Sheila Johnson, ambaye alipata ubilionea baada ya kupeana talaka na mume wake Bob Johnson, mmiliki wa zamani wa BET, na mmiliki mwenye hisa kubwa katika timu ya Charlotte Bobcats ya NBA. (Sheria za marekani, mkipeana talaka, mnagawana mali nusu kwa nusu bila kujali ni nani alizichuma)

Isabel Dos Santos, mwenye miaka 40 alisomea uhandisi katika chuo cha King’s, mjini London, kabla ya kufungua biashara yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 24 – mgahawa unaoitwa
..Read More
Source: Ziro99 

 
No comments:

Post a Comment