Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, January 19, 2013

MHARIRI WA GAZETI LA MWANAHALISI, SAED KUBENEA AJIPANGA KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA ...!

MHARIRI wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana kuwa ameanza kujipanga kikamilifu kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015, na kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka ambaye ni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).

     Na kwa mitazamo ya wengi ikiwemo watu waliopo kwenye tasnia ya habari wamepokea habari hii ya Saed Kubenea kwa mikono miwili kwa kuwa ni jambo jema kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa ili kuweza kutoa mchango wake kutikana na uzoefu alio nao katika kuona, kusoma na kusikia matatizo yanayoikabili jamii. Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr. Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushinda Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.

 
 

No comments:

Post a Comment