Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, February 9, 2013

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012 KUTANGAZWA HIVI KARIBUNI HUKU KUKIWA NA HOFU KUBWA YA WATAHINIWA WENGI KUTOFANYA VIZURI KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI...!WASIWASI mkubwa umeigubika jamii katika kipindi hichi kigumu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kusubiri matokeo kutangazwa kutokana na haki halisi ya migomo ya walimu iliyolikumba taifa kwa mwaka jana (2012). Hali hiyo inatokana na hali ilivyokuwa kwa watahiniwa wa kidato cha pili ambapo matokeo hayakuwa mazuri kwa mwaka huu, na pia hali imedhihirika katika mitandao ya kijamii kama facebook, whatsup na twitter. 


No comments:

Post a Comment