Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, April 14, 2013

BREAKING NEWZZ.. BABU SAMBEKE AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA NDEGE MKOANI ARUSHA...!

HABARI za kusikitisha tulizozipokea muda mfupi uliopita ni kwamba mfanya biashara maarufu mkoani Kilimanjaro  anayefaamika kwa jina la Babu Sambeke amefariki dunia kwa ajali ya ndege huko mkoani Arusha, ndege hiyo ambayo mmiliki alikuwa ni Babu Sambeke inasemekana imepata ajali leo jioni na kupelekea vifo vya watu wawili ambao ni Babu Sambeke na mtu mwingine ambaye mpaka sasa jina lake kalijatambulika. Inasemekana ajali hiyo imetokea jijini arusha ambapo babu alikwenda kwa shughuli zake za Kibiashara.
 
Picha ya marehemu Babu Sambeke.
Hii ndio ndege iliyo pata ajali na kusababisha kifocha Babu Sambeke

kufahamu zaidi kuhusiana na ajali hiyo endelea kutembelea mtandao huu wa www.kingjofa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment