Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, April 17, 2013

HII NDIO SABABU YA KIFO CHA BI. KIDUDE...!

Kidude

Mjukuu wake aitwaye Omar ameiambia na chanzo chetu makini kwa njia ya simu muda mfupi uliopita kuwa Bi. Kidude alikuwa amelazwa kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya sukari na uvimbe kwenye kongosho.
“Kwa ufupi alilazwa kipindi kirefu na baadaye akatolewa, lakini baadaye akaja kuendelea kuumwa tena tukampeleka hospitali tukawa tunampeleka kwenda na kurudi hapa juzi akaanza kuzidiwa tena tukampeleka hospitali moja inaitwa Keeni (???) Kwaajili ya matibabu zaidi na drip na vitu vingine lakini baadaye baada ya siku ya tatu mwenyezi Mungu akachukua roho yake,” amesema Omar

 

No comments:

Post a Comment