Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, April 25, 2013

Huduma katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC zimedorora...!


Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure , hasa kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa, wamekuwa wakitumia mbinu haramu kutafuna fedha za Watanzania kwa ajili ya kujilimbikizia,kwa namna yakufanya ukarabati wa majengo, ununuzi wa Magari ya kifahari.

Chanzo cha kuaminika cha habari kimedai kuwa ufisadi huo unasimamiwa na Mkurugenzi mtendaji bwana Dr Moshi Ntabaye kwa kukingiwa kifua na swahibawakaribu Askofuu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa kuwa anatumia madaraka yake ya ukurugenzi ‘kupitia’ Bahasha ya aliyompatia Askofu pindialipoingia madarakani yenye thamani ya milioni 10.


Akizungumza na chanzo, kimesema kuwa kwa msukumo wa Dr Moshi Ntabaye, Hosipitali ya KCMC mali ya GSF, imeendelea kufujwa fedha. Chanzokimesema kuwa kwa mujibu wa nyaraka ambazo kimezinasa,


• Deni la Hospitali lina zidi kukua kutoka Sh Milioni 5 mwaka 2010 hadi Biloni 2.9 Mwaka 2013.


• Hela zilizokuwa za CT Scan kwenye akaunti ya Fix kiasi cha 1.7 Bilioni hazijulikani zilipo. (CT scan ni mwaka wa tatu sasa haifanyikazi).


• Hela zilizopatikana kwa kuchangia Fundraising 2010 - 2011 kiasicha Milioni 700 hazijulikani zilipo.


“Ndugu, mchezo anaofanya Dr Moshi Ntabaye, hasa kupitia majungu ya watafuta umaarufu, ni ule kutumia, kutafuta fedha haramu kwa kuwaibia Watanzania huku huduma za hospital zikizorota.huku baazi ya vipimo muhimu kama FB azifanyiki.


“Sasa nikipindi cha miezi 2 sasa hakuna operation zinazofanyika kwakukosa Dawa ya Usingizi Halothane, Mask wagonjwa wanalipia opereshen.... Ila tangu j3 mwezi Machi 4 miezi 2 opereshen za general anasthesia hazifanyiki... Zinazofanyika ni za spinal anasthesia..., huku ongezeko la vifo likiongezeka.


Haina mvuto kama ilivyokuaga ada yake ambayo hata mgonjwa unawezapelekwa na kutokana na uzuri wa mazingira na hata majengo hakika unapona Nyakati hii ya uongozi Dr Moshi Ntabaye yani choka mbaya kabisaaa!.

Sourse: Jamii forum 

No comments:

Post a Comment