Kikosi cha timu ya Marenga investment.
Timu ya Marenga inverstment na Waandishi wa habari zikiwa tayari kwa ukaguzi kabla ya kuanza kwa mechi
IKIWA Kesho waandishi
wa Habari kote Duniani wanaadhimisha siku yao, ndani ya Mkoa Kilimanjaro
waandishi wa habari wamesheherekea Maandalizi ya siku hii kwa bonanza kubwa
ambalo limedhaminiwa na Kampuni ya Marenga investment. Bonanza hilo lilizikutanisha timu ya mpira wa pete ya wanawake ya waandishi wa habari
dhidi ya Timu ya Wafanyakazi wa Marenga Investanisha Timu ya mpira wa pete ya
wanawake ya waandishi wa habari dhidi ya Timu ya Wafanyakazi wa Marenga
Investment wakati katika
Matokeo ya mchezo huo wa awali uliochezwa mnamo wa saa saa nane kamili na matokeo ikawa ni timu ya waandishi wa habari walishinda kwa vikapu na 35
Marenga vikapu 12.
Baada ya mchezo huo ulifuatiia mchezo wa mpira wa miguuuu ambapo timu ya wafanyakazi wa Marenga walichuana na timu ya wafanyakazi wa Marenga investment walichuana na timu ya waandishi wa habari waliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 5 - 3 dhidi ya Marenga investment. Hataa hivyo mgeni rasmi alikua ni Katibu wa chama cha soka Kilimanjaro ndugu Mohamedy Mussa Alisema Alisema huu
ni wakati wa Wafanyabiashara na wadau wa michezo kujitoa katika michezo na
kufufua michezo ndani ya mkoa Kilimanjaro huku
akitoa pongezi za dhati kwa Kampuni ya
Marenga Investment iliyopo Kiboriloni mjini Moshi kwa kudhamini Bonanza hilo.
No comments:
Post a Comment