Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, April 11, 2013

NI WAKATI WA DADA ZETU NA BINTI ZETU WALIOJALIWA UREMBO KUFAIDI MATUNDA....!

Moshi ni moja ya miji ya kakihistoria ndani ya Tanzania, Ni moja ya mji Maarufu Afrika na ni mji wa pili kwa Usafia Barani Afrika.
Unapoingia ndani ya mji wa Moshi unapokelewa na muonekano wa Mlima mrefu kuliko yote barani Afrika, mlima kilimanjaro. Na ni Mji unaotoa Warembo wanaopamba jiji la Dar es Salaam, Kama unabisha Bishana na maandishi hapo.

Mwaka jana Kampuni ya New Vision iliandaa Shindano la kwanza la kumtafuta Mrembo wa Moshi lilifanyika katika ukumbi wa Mr. Price City na kuoa wasichana warembo
watano walioingia katika fainali za kumtafuta Miss kilimanjaro ambapo Mrembo aliyeshikilia Taji la Mrembo mwenye Nidhamu {Miss Behaviour}
Anande Radhiel alishinda aji la Miss kilimanjaro. safari ya Kampuni ya New Vision yenye Dhamana ya kuandaa miss moshi haikuishia hapo, Ilisonga na Anande
kama mshiriki kutoka moshi mapaka katika mashindano ya kanda na huko alipata nafasi ya kwenda kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka
Red's Miss Tanzania na Anande alifanikiwa kuingia Kumi bora.

Mwaka 2013 ni mwaka mwingine tena wa kutoa Fursa ya Wazuri wa moshi kupita kwenye Red Capert katika shindano la kumsaka Miss Moshi mwaka 2013,
Na shindano linatarajiwa Kufanyika katikati ya mwezi wa Tano. hii ni Fursa yako wewe Msichana mwenye ndoto ya kutembea katika Red carpet huku ukitambulika
Kama mrembo.

Piga namba
+255 717 636358
+255 656 836017

No comments:

Post a Comment