Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, May 5, 2013

TAZAMA PICHA KUTOKA KATIKA TUKIO LA BOMU LILILOLIPULIWA KATIKA KANISA LA KATOLIKI LILILOPO MJINI ARUSHA...!

Photo: Hili ndo kanisa la olasiti....Mlipuko ulipotokea mapema asubuhi..!Hili ndo kanisa la olasiti....Mlipuko ulipotokea mapema asubuhi
Photo: Hii ni sehemu ambayo mlipuko umetokea asubuhi katika kanisa la olasiti hapa arusha....! Hii nin? Sema la moyoni.....comment..!

Hii ni sehemu ambayo mlipuko umetokea asubuhi katika kanisa la olasiti hapa arusha

Photo: Mt.meru hospital....Ndugu na jamaa wakiwa nje ya hospitali kusubili taarifa za waliojeruiwa katika mlipuko uliotokea mapema asubuhi kanisani olasiti..!

Mt.meru hospital....Ndugu na jamaa wakiwa nje ya hospitali kusubili taarifa za waliojeruiwa katika mlipuko uliotokea mapema asubuhi kanisani olasiti

Umati wa  wananchi wa mkoa wa Arusha wakiwa njiani kuelekea kuangalia ndugu na jamaa zao waliokuwamo kwenye ibada hiyo, na mpaka sasa hakuna taarifa ya vifo.
 Kanisa lililolipuliwa likiwa linaonekana kwa mbali huku wananchi wakilitazama kwa mbali kutokana na tishio la kutokea kwa milipuko mingine ...Mtu mmoja  amekamatwa kuhusiana na tukio hilio wakati wengine wanasadikika kukimbia.
 Waumini  pamoja na baadhi ya wanacchi wakiwa katika hali ya taharuki  wasiamini nini kilichotokea  kutokana na mlipuko mkubwa  uliotokea asubuhi ya leo.


 Polisi wakijaribu kuchunguza eneo bomu lilipolipukia  leo asubuhi wakati wa misa ya kuzindua kigango hicho.iliyo katika kata ya olasiti na parokia ya burka.
Polisi waki imarisha doria eneo la tukio   baada ya majeruhi kukimbizwa hospitali kupatiwa matibabu zaidi ...Mpaka tunaondoka eneo la tukio Viongozi mbali mbali akiwemo mmbunge wa arusha walikuwemo eneo hilo.

Majeruhi wa tukio hilo wakiwa katika hali mbaya..
endelea kupitia audifacejackson blog kwa  picha zaidi 
 

Mungu uwe upande wetu
Majeruhi wa Mlipuko huo akipata huduma ya kwanza mapama baada ya tukio hilo 

No comments:

Post a Comment