TAZAMA PICHA YA CHIEF WA swahilivilla.blog AKIUNGA MKONO KUFUNGWA KWA JELA YA GUANTANAMO...!
Cheif wa swahilivilla.blog Washington DC akiwa
mbele ya White House akiunga mkono kufungwa kwa jela ya Guantanamo
iliokuwepo U.S. base in Cuba ambayo inashikilia watu 166 walioshikiliwa
dhidi ya vita vya kigaidi!
No comments:
Post a Comment