Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, May 1, 2013

PANONE AND COMPANY LIMITED YANG'ARA SHEREHE ZA MAY MOSI KILIMANJARO...!

Muwakilishi kutoka Panone akinyanyua kikombe walichozawadiwa kwa kushika nafasi ya tatu kwa kutoa huduma bora.

Manager wa Panone (Gido Marando) and company Ltd. akiwa na muwakilishi wa kampuni ya panone wakifurahia ushindi kwa kunyanyua kikombe juu.

Manager wa Panone (Gido Marando) and company Ltd. akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Panone  wakifurahia ushindi kwa kunyanyua kikombe juu.
 
Manager wa Panone (Gido Marando) and company Ltd. akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Panone walio pata zawadi kwa ya utendaji mzuri kazini.

Hii ni timu nzima ya wafanyakazi wa Panone and Company Ltd. walikuwa uwanja w ushirika katika  kusherekea sikukukuu ya wafanyakazi duniani

Hii ni gari ya kampuni ya Panone ambayo inatoa huduma ya mafuta mahali popote ulipo inauwezo wa kukufata na kukuhudumiakwa kupiga namba hii 0715 365377 wakati wowote.

  Hivi ndivyo unavyoweza kupatiwa huduma ya mafuta ya gari yako mahali popote ulipo.

 Ukifika katika kituo chochote cha Panone huduma ya kuoshewa kioo chako cha gari utaipata buree..

 Kijana kutoka kampuni ya Panone na hapa alikua mbele ya mgeni rasmi akielezea huduma zinazopatikana katika kampuni ya Panone.


Picha ya chini na juu ni sehemu ya magari ya kampuni ya Panone yakiwa katika msafara wakati wa kuelekea uwanja wa ushirika katika maadhimisho ya wafanyakazi duniani.

KAMPUNI ya Panone ni wauzaji na wasambazaji wa mafuta ya vyombo vya moto katika eneo kubwa Tanzania nzima na makao makuu yapo Dar es salaam, na wana vituo katika maeneo yafuatayo Moshi maeneo ya soko la juu kiinachofahamika kama Panone Market, kituo cha Karanga kinachotazamana na na shule ya ufundi ya Moshi (Moshi Technical), Weruweru karibu na mnadani, Chekereni, Mwika, King'ori, Shangarai, Arusha Engarenarok, Sombetini, Kisongo, Miembe saba,kuranga, Tunduma, Minjingu, Mererani na Lushoto.

Katika kila vituo vilivyotajwa kuna maduka ya oil, matairi mapya, Gas, Supemarket na huduma za pesa za mtandao kwa masaa 24 na huduma zinapatikana hadi siku za sikukuu. Pia Panone wanatoa wanatoa huduma zote hizo ndani na nje ya Tanzania kama Kongo, Burundi, Rwanda, Zambia na kwingineko. Na unaweza kulipia mafuta kituo chochote ca Panone na ukachukulia mafuta kwenye kituo kingine cha Panone.

Kampuni ya Panone imekua ikitoa misaada na michango mbalimbali ya maendeleo kama ujenzi wa makanisa, misikiti, barabara, shule na mengine mengi. Pia wamekua wakitoa mabegi kwa wanafunzi bila kujali itikadi za zozote. Unapopatwa na tatizo lolote katika gari lako kama vile gari kuishi mafuta na upo mbali na kituo cha mafuta, tairi kupata pacha, unaweza kupiga simu namba 0715 365377 na watoa huduma wa Panone wakakufuata popote ulipo na kukupatia hudumu unayohitaji.

Na leo hii katika kuadhimisha sikukuu ya wafanya kazi duniani kampuni ya Panone and Company Limited imeudhihirishia uma uliokuwepo uwanjani kuwa wanatoa huduma bora na zenye kukidhi viwango kwa wateja wao pale walipotangazwa kuwa washindi watatu kwa ubora wa huduma wanazozitoa wa wateja wao.  


No comments:

Post a Comment