Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, June 25, 2013

BAADA YA JOYCE KIRIA KUANDAMA NA WATOTO WAKE:MUMEWE APATIKA HICHI NDICHO ALICHOKISEMA JOYCE KIRIA.!

HIVI JANA TU BAADA YA MTANGAZAJI WA EATV JOYCE KIRIA ALIVO ANDAMANA KUTAKA KUJUA MUMEWE KAPELEKWA WAP NA YUKO WAP HAYA NI MAJIBU ALIYO YAPATA KUTOKA KWA WAKILI WAKE PETER KIBATAL.

Jana baada ya kufanya hili zoezi na familia yangu namshukuru Mungu Wakili wetu Peter Kibatala alinipigia sim majira ya alasiri akanitaarifu ya kwamba Mume wangu yupo Tabora na yuko salama. isipokuwa amepandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka mawili, UGAIDI na KUM'MWAGIA MTU TINDIKALI....Am speechless familia yangu tunaitaji maombi yenu sana kuliko mnavyofikiria

Bw.Henry Kilewo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara ya kwanza

No comments:

Post a Comment