Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 24, 2013

JESHI LA POLISI WAMJIBU JOYCE KIRIA KUHUSU MADAI YAKE KWAMBA "WAMWAMBIE ALIPO MUME WAKE"...!

 
Inasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)

Joyce Kiria akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo alidai hajui mume wake yuko wapi

No comments:

Post a Comment