Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, June 20, 2013

GODBLESS LEMA AVAMIWA NA POLISI NYUMBANI KWAKE USIKU..!

Habari zilizopatikana usiku huu zinaeleza kuwa mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema amevamiwa na polisi nyumbani kwake. Polisi wameruka ukuta na kuvamia nyumbani kwake majira ya saa sita usiku.

Taaarifa kutoka kwa mke wa Kamanda Lema kwa njia ya simu zinasema, polisi waliingia ndani kwa lengo la kumkamata Lema na kufanya upekuzi ambao haujawekwa bayana ni upekuzi wa nini! Saa 00:35 usiku huu ndio wakati walioondoka!
Endelea kuwa nasi tutakujuza zaidi kile kilichotokea!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment