Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, June 20, 2013

MTOTO ALIYEJERUHIWA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA NAYE AFARIKI DUNIA..!


Mtoto Fahad Jamal alipotembelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi kwenye chumba cha ICU siku chache zilizopita.Mtoto Fahad Jamal (7) ambaye hali yake ilikuwa mbaya na kulazwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Selian kufuatia kujeruhiwa na bomu katika mkutano wa Chadema Arusha Amefariki dunia

No comments:

Post a Comment