Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 24, 2013

HIKI NDICHO KINAMFANYA P.DIDDY KUWA MWANA HIP-HOP MWENYE MSHIKO MREFU DUNIA..!

 Kwa mujibu wa Kampuni ya marekani inayochunguza mapato ya wasanii
 dunia kote,hivi karibuni walitoa
mustakabari kwa upande wa Hip-Hop na kumzungumzia Mwana Hip-Hop 
Nguli Sean Carter P.Diddy...
Katika List anaonekana Mwanamuziki mwenzie Jay-Z ndo anaongoza
kwa kuwa mwana Hip-Hop
mwenye kisu kirefu zaidi akifwatiwa na 50 Cent na watatu ni
P.Diddy mwenyewe mwaka wa 2009....
Diddy mwenye Vitega uchumi vingi kama mavazi yake kama
Sean John na Record Label Bad Boys na perfume zake na moja kati manukato yaliouzwa Bei
Ghali zaidi mwanzoni mwa mwaka huu Ilioenda kwa jina la UNFORGIVABLE...
Katika yote hayo hiki ndicho kinasemekana kinamwingizia mpunga
 mrefu na kumuongezea hela
kukaribia kuwa mwana hip hop mwenye kisu kirefu duniani.....
CIROC ni kinywaji kikali kilichobuniwa na Mwanamuziki huyo na
 ndio kinywaji kinachotumika kwa
wasanii wengi nchini marekani na kwingineko na hata kuonekana
 kwenye video tofauti za wasanii
mbali mbali nchi za nje....
Kwa mujibu wa Forbes unasema kinywaji hicho kimeweza
kumuingiza hadi sasa P.diddy
dolla za kimarekani 48 millioni kwa mwaka......
Na hii imeongeza zaidi kwenye utajiri wake na kuwa mwana
hip hop tajiri kuliko wote
dunia kwa kuwa na utajiri wa $580millioni za kimarekani akifwatiwa
na Jay -z na watatu ni Dr Dre
akiambatana na C.E.O wa CASHMONEY Birdman na 50 CENT
 akiwa kwenye nafasi ya 5 mwaka wa 2012-2013...
Ni hayo tu kwa leo nimekujuza upate kujua ukweli wa mambo na
kujua jinsi muziki unavyolipa na
brand wanazobuni wanamuziki nje zinazowaletea faida tele.....!!
Hiki ndico kinywaji kinachomuingiza mkwanja mrefu P.Diddy

 

Aina tofauti za kinywaji hicho.....

No comments:

Post a Comment