Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 24, 2013

KARIBUNI HOODMUSIC FASHION ARACHUGA..!

Hoodmusic Fashion shop Arachuga, Number one kwa pamba aina zote za kiume, Kofia Mikanda, na zaidi ni specialists wa Tshirts za Arusha ikiwemo " Arusha Boy, "Arusha Girl, Jembe la Kaskazini, "Mama Africa, Movement, "HoodMusic, Noizmekah, "JamboSquad, Made in Arusha na nyingine Kibaaaaaaao, kwa mawasiliano zaidi chek nao Pande za Sakina Arusha, Baada ya kupita Triple A Complex, Barabara ya Whiterose.
 Janjaro akiwa katika pose na Vijana toka Hoodmusic Fashion shop Arachuga Baadhi ya T-shirts zinazopatikana duka la HOODMUSIC

No comments:

Post a Comment