Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 24, 2013

MSANII RECHO AZABWA BONGE LA KIBAO:MACHOZI YAMTIRIRIKA BILA KUPENDA.!

Rachel Haule ‘Recho’.
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ alijikuta akichezea kibao cha ukweli na kusababisha aangue kilio wakati alipokuwa akirekodi sinema. Akizungumza na Stori 3, sosi aliyeshuhudia tukio hilo lililotokea maeneo ya Mwenge, jijini Dar alisema msanii huyo alikuwa katika kurekodi moja ya vipande vya sinema yake mpya lakini kutokana na matakwa ya filamu hiyo kuonesha hisia za kulia, ilibidi Baba Haji amshushie kofi fastafasta.
“Siku hiyo sikuwa kwenye ‘mudi’ sababu kuna mambo yalinichanganya, nilishindwa kuvuta hisia za kulia ndipo niliposhtukia kofi la Baba Haji na machozi yalinitoka yenyewe, hii kazi yetu hii we acha tu,” alisema Recho.

No comments:

Post a Comment