Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 24, 2013

KATIBU WA MBUNGE WA ARUSHA MJINI MH. GODBLESS LEMA ALIYENUSURIKA KUFA...!

Huyu ndiye katibu wa mbunge wa arusha mjini Mh. Godbless Lema aliyenusurika kufa kwa bomu wakati wakiwa kwenye mkutano wa CHADEMA uliofanyika katika viwanja vya Soweto jijini Arusha, ambapo inasemekana bomu hilo lilisababisha vifo vya watu watatu na majeruhi zaidi ya sitini. kwa sasa katibu wa Mh. Lema bado yupo hospital ya Selian lakini afya yake inaendelea vizuri.

No comments:

Post a Comment