Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, June 6, 2013

MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA..!

R.I.P Jafari Ally, (Mume wa Khadija Kopa)

Mume wa msanii wa muziki wa taarabu hapa nchini Khadija Kopa, anayejulikana kwa jina la Jafari Ally, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam.

Endelea kufatilia http:kingjofa.blogspot.com/ kwa habari zaidi
Source:EA Radio na EATV

No comments:

Post a Comment