Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 18, 2013

Dar es salaam inazidi kupendeza, hapa kuna picha 56 za nje na ndani ya gorofa jipya linaitwa Msasani City Mall.

40
.
.
Siku zote millardayo.com huwa inatoa support hasa pale inapoona Mtanzania au binadamu yeyote ameweka bidii kwenye kitu flani ili kuingiza kipato haijalishi ni tajiri au sio tajiri…….. sasa leo millardayo.com inakukutanisha na moja kati ya majengo mapya kabisa Dar es salaam ikiwa ni mpango wa tovuti hii kukuonyesha mengi kwenye miji mbalimbali ya Tanzania.
Unaambiwa hili jengo lote na maduka yaliyoko ndani, vyote vinamilikiwa na mtu mmoja.. linaitwa Msasani City Mall ambapo ndani unakutana na maduka mbalimbali yanayouza nguo, viatu na bidhaa nyingine ambazo zote ni za brand tofauti tofauti za dunia…. ni vitu vya levo yake lakini wameamua kuvirahisisha ili Watanzania wavipate kwa bei ya Kitanzania pia.
Jengo lipo pembeni kabisa ya Ubalozi wa Marekani Msasani Dar es salaam pia karibu na Namanga.
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
33
34
35
36Kwenye sehemu hii ya juu kabisa wameplan kufungua kama Restaurant, sehemu ambayo ni rahisi pia watu kupumzika na kuenjoy upepo na muonekano wa juu wa jiji la Dar es salaam.
37
38Msasani inavyoonekana
39
41
42
43
44Barabara ya kwenda Ubalozi wa Marekani.
45
46
47
48
Ishu ya Parking pia imezingatiwa49
50
51
52
53
54
55
56


No comments:

Post a Comment