Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, July 12, 2013

DEREVA WA DALADALA APEWA KIPONDO USIKU WA JANA NA MADEREVA WA BODA BODA BAADA YA KUSABABISHA AJALI YA KUGONGA BODA BODA NNE. MBEYA

 DEREVA WA DALADALA ALIYE SABABISHA AJALI HIYO AKIWA AMEAMATWA ENEO LA SOWETO MBEYA
 DEREVA WA DALADALA AKIWA ANAKWEPA KUPIGWA NA MADEREVA WA BODABODA
 DEREVA WA DALADALA AKIWA ANALIA HUKU AKIOMBA MSAMAHA WASIENDELEE KUMPA KICHAPO
 DEREVA WA DALADALA AKIWA ANAJIELEZA KWA NINI ALIAMUA KUKIMBIA KUTOKA STAND KUU MPAKA SOWETO WALIPO MKAMATA KWA USALAMA WAKE MWENYEWE
 BAADHI YA MADEREVA WA BODA BODA WAKIWA WAMEMZINGIRA KIJANA HUYO
 MMOJA WA WAKUU WA MADEREVA WA BODA BODA AKIWA ANAMUHOJI DEREVA WA DALADALA AMBAYE JINA HALIKUTAMBULIKA KWA MUDA
 HII NDIYO DALADALA ILIYO GONGA BODABODA NNE ENEO LA STAND KUU JANA USIKU NA KUKIMBIA, HAPA MADEREVA WA BODA WAKIWA WAMEIVUNJA VUNJA VIOO
HAPA DEREVA WA DALADALA AKIWA AMEPAKIWA KATIKA PIKIPIKI NA MADEREVA WA BODABODA WALIODAI KUWA WANAMPELEKA STAND KUU.

MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAIKUJURIKANA MARA MOJA WANAKWENDA KUISHIANA VIPI. ENDELEA KUFUATILIA

No comments:

Post a Comment