Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 25, 2013

GARI LA MAZIWA LAPATA AJALI RAIA WAMIMINIKA NA VIKOMBE KUNYWA MAZIWA

SONY DSC Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa  leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
SONY DSC SONY DSC

Kila siku tunanunua: Ustadhi naye akijipatia maziwa bila kujali yana usalama au hapana

SONY DSC SONY DSC

Jeshi la polisi likiwa kwenye eneo la tukio.

SONY DSC

Kichwa chenye namba za usajili T 787 AFX lilobeba kontena la maziwa likiwa pembeni ya barabara mara baada ya kuacha njia likitokea Mkoani Tanga.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment