Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, July 24, 2013

HAPA NA PALE MAENEO YA KIGAMBONI

 Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanatoka Shuleni eneo la kwa Meya Kigamboni
 Biashara ya Makopo ikiwa inaendelea Mitaa ya Kigamboni
 Moja ya eneo Ambalo wanafunzi waliopanga mitaa hii kutoka Chuo cha Mwalimu Nyerere, IFM, DSJ, CBE na Magogoni hupata chakula chao.
 Hii ni moja ya Njia Maarufu kwa Mama Mwita ambapo wanafunzi huenda kuchukua pesa zao kupitia Huduma za Simu.
 Hii ni Internet Maarufu iliyopo Maeneo ambapo wanafunzi wengi wa Chuo wamepanga
 Baadhi ya nyumba kongwe zilizopo eneo la Kigamboni
 Haya ni Maeneo ya Serengeti Kigamboni
 Hapa ni eneo Jirani na Feli Kigamboni
 Baadhi ya Boti zikiwa zimepaki eneo la Kigamboni
 Baadhi ya Wavuvi wakiwa bize na kazi zao kabla ya kuelekea kuvua samaki mida ya usiku huko Kigamboni
Moja ya Pantoni ikiwa inawavusha Wananchi kuelekea Kigamboni

No comments:

Post a Comment