Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, July 30, 2013

HUSSEIN BASHE AMJIBU Mh. SAMWELI SITA BAADA YA KUSEMA "KUNA WABUNGE MIZIGO CCM" ...!

. 
Baada ya mheshimiwa Samweli Sitta kutokea kwenye gazeti la Mwananchi leo hii na kupewa kichwa kikubwa cha habari ambayo ni maneno yake akisema  ”Kuna wabunge mizigo CCM, wanaenda bungeni hawachangii lolote,jimboni hawaendi na wanabebwa na chama”. Kada wa CCM,Hussein Bashe ameadika tweet zaidi ya nane ambazo zinaonekana ni majibu ya maneno ya maneno aliyoyasemaMhe,  Samweli Sitta.
bashe
Hussein Bashe
1
2
3
4
5
6
7
8
9

No comments:

Post a Comment