Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 25, 2013

NYUMBA YAUNGUA MOTO NA KUTEKETEZA MAGARI SITA ENEO LA MAJUMBA SITA UWANJA WA GONGA JIJINI DAR ES SALAAM , USIKU WA KUAMKIA LEO

Hivi ndivyo mabaki ya nyumba hiyo ambaye  mmiliki wake hakujulikana mara moja inavyo onekana
 Haya Ndiyo Magari yaliyo teketea kwa moto, ambapo eneo ambalo nyumba hiyo iliunguwa ilikuwa karibu na Garage
 Baadhi ya Mabaki katika Nyumba hiyo
Baadhi ya Wananchi waliofika  Alfajiri kushuhudia Maafa hayo.

No comments:

Post a Comment