Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, July 8, 2013

PICHA ZA KILI TOUR 2013 NDANI YA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI

 Umati wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya waliofurika katika viwanja vya ushirika kushuhudia tamasha la ziara ya muziki ya Kili jijini Moshi.

 Snura Mushi, a.k.a Mamaa Majanga akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki wake wa mkoa wa Kilimanjaro waliofurika katika viwanja vya Ushirika waliofurika kushuhudia tamasha la tatu la ziara ya muziki ya Kili. 


Kundi bora la muziki kwa mujibu wa tunzo za Kili za mwaka huu, Jambo Squad, wakionesha ubora wao katiika jukwaa la tatu la ziara za muziki za KIli zinazoendelea nchi nzima
 

 
Nasib Abdul, a.k.a Diamond, naye alikuwa ni mmoja kati ya watumbuizaji waliotia fora katika tamasha la Moshi lililovunja rekodi kwa kuhudhuriwa na mashabiki wengi kuliko matamasha yote ya ziara hiyo kwa mwaka 2013.


Diamond Platinumz alikuwa ni mmoja kati ya wasanii walioshangiliwa sana jukwaani, hapa akiwajibika jukiwaani.


Lady Jay Dee akiwajibika na wacheza shoo.
 

 Wadau wa muziki na wadau wa #teamKINGJOFA na #teamANACONDA hawakutaka kukosa show hiyo
 DJ CHOKA

 
 


Wadau wa muziki na wadau wa #teamKINGJOFA hawakutaka kukosa show hiyo

No comments:

Post a Comment