Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, July 13, 2013

VIJANA WAJITOKEZA KWA WINGI NEW MAISHA CLUB KUWANIA NAFASI ZA UDEEJAYZ

Yale mashindano yakutafuta madeejayz mbalimbali watakao pata ajila ya kudumu katika kampun ya entertaiment masters leo ndio yanaanza rasmi katika club ya kimataifa NEW MAISHA CLUB. vijana mbalimbali waejitokeza kuwania nafasi hiyo je nani atapata nafasi hiyo kwamana wanahitajika vijana wasiopungua kumi.
kwa picha zaidi ....... Hizi ndio machine zitakazotumika katika usahiri huu
 Muonekana wa eneo la usahiri,mahala wanapokaa majaji na deejayz

 Mtoto wa kike pekee aliejitokeza kushiriki mashindano yakutafuta deejay

 washiriki wakipanga nyimbo zao kabla ya mashindano


 Macameraman wa dtv wakijipanga kuchukua picha za matukio

 Washiriki wakiangalia machine zitakazotumika leo katika usahiri

washiriki wameshajipanga tayari kwa kuanza kwa usahiri. 

Kwa hisani ya xdeejayz.blogspot.com, hyperhk.blogspot.com   na bossngasa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment