Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, July 13, 2013

WISEMAN KIJANA ALIYEAMUA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MBEYA HADI DAR AKIWA AMEBEBA UJUMBE MZITO...!
 
 
 Kijana Wiseman Luvanda(23) aliyeko katika ambaye amebeba bendera ya taifa akikamilisha safari yake ya kutoka Mbeya hadi Dar es salaam kwa miguu ikiwa ni ishara ya kuonyesha uzalendo na kauli mbiu yake ni "Tanzania nchi yangu, Taifa Stars Timu yangu, Amka wakati wa Uzalendo ni Sasa". Je mimi na wewe tumefanya nini kuienzi nchi yetu ya Tanzania?

No comments:

Post a Comment