Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, August 13, 2013

PICHA 40 ZA YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA BILIONEA ERASTO MSUYA HUKO KAIRO - MIRERANI.

 Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka alipo wasili Msibani.

Mc wa Shughuli ya Mazishi alikua ni JB.

Maelfu ya Waombolezaji waliokaa kila kona ya Eneo la Msiba wakifuatilia taratibu ya Mazishi.

Waombolezaji wakifuatilia Taratibu za Mazishi kupitia Luninga zilizokua zimewekwa kila kona

Waombolezaji wakiwa katika kwenye foleni ndefu ya watu wakiwa wanaelekea kwenda kutoa heshima za Mwisho kwa Marehemu.

Hili ndilo Jeneza Lililokua limebeba mwili wa marehemu lililowashangaza wengi kwa vile lilivyokua likifunguliwa kwa rimoti "Remote control"

Mwili wa Bilionea Erasto Msuya ukiwa kwenye Jeneza.

Mke wa marehemu (Mrs. Erasto Msuya) akitoa heshima za mwisho.

 Askofu akiandika kitabu cha rambirambi.

Viongozi wa dini wakiandika daftari la rambirambi.

Mamia ya watu wakiwa katika foleni ya kuaga mwili wa Marehemu.

 Askofu akitoa heshima za mwisho.

Watoto wa Marehemu.

 Mtoto wa Marehem akiaga mwili wa baba yake.
Mbunge wa Simanjiro Ole sendeka akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitoa pole kwa familia ya Marehemu.

Jeneza lenye mwili wa marehemu Erasto Msuya likiwa tayari kupelekwa eneo maalum kwaajili ya kumpumzisha.

 Watoto wa Marehemu wakiwa wanaongoza safari ya kuelekea kaburini utakapohifadhiwa mwili wa baba yao.
 Hii ndio ilikua safari ya kuupeleka mwili wa Bilionea Erasto Msuya kaburini.

Wananchi wakiwa wamehipanga pembeni wakati mwili wa marehem ukipitishwa.

Mwili wa Marehemu ukiwasili eneo maalum kwa ajili ya maziko.

Dada wa Marehem akitoa neno la familia.

Mwili ukiwa eneo maalumu kwa ajili ya ibada ya mazishi na nazishi.
 
Askofu akiendesha ibada ya Mazishi.

 Wachimbaji wadogo wadogo wa madini maarufu kama wanaapolo wakiwa makini kufuatilia taratibu za mazishi.

Mkuu wa jimbo akibariki eneo la maziko.

Jeneza lenye mwili wa Marehemu likishushwa kaburini kwa mashine maalum.

 Jeneza lenye Mwili wa Erasto Msuya likiwa kaburini.

Familia ya marehemu ikiweka udongo kaburini.

Mafundi wakifanya kazi ya kufunika kaburi.
 
 
 
 
 
 
 
 Askofu akiweka taji la maua juu ya kaburi la marehemu Erasto Msuya.

 Nyumba ya Milele ya Bilionea Erasto ikiwa Tayari.

 
 Hawa ni baadhi ya waombolezaji waliokua wamezagaa kila mahali baada ya shuhuli nzima ya mazishi ya Erasto suya kukamilika.

Hii ndiyo gari aina ya vogue ya Marehemu Erasto Msuya aliyoendesha mara ya mwisho.

Chalii wa Moshi

No comments:

Post a Comment