Dr. Brian Berry wa Marekani amegundua kensa mpya kwa
binadamu inayosababishwa na Silver Nitro Oxide. Unaponunua kadi ya simu
usiichune kwa kucha kwani imo hiyo Silver Nitro Oxide na inaweza
kusababisha kensa ya ngozi.
NUKUU MUHIMU ZA AFYA:
*Unashauriwa kusikiliza simu kwa sikio la kushoto.
*Usimeze dawa na maji baridi.
*Usile chakula kizito baada ya saa kumi na moja jioni.
*Unashauriwa kunywa maji mengi asubuhi na kidogo usiku. *Muda mzuri wa kulala ni kuanzia saa nne hadi kumi usiku. *Usilale mara baada ya kumeza dawa au kula chakula.
*Ikiwa simu yako imebakiza kijino cha mwisho usipokee simu kwani mionzi inakuwa na nguvu kwa mara 1000 zaidi.

***MUHIMU***
*Jumuiya ya uchunguzi ya Marekani imetoa majibu mapya.
*Usinywe chai kwenye vikombe vya plastic.
*Usile Chochote kwenye mifuko ya plastic.
*Plastic ikikutana na joto inatoa vitu vinavyo sababisha aina 52 za
kensa.
Tafadhali wapelekee wale wote unaowajali.
Nimefanya sehemu yangu kwa wale ninao wajali.
#teamKINGJOFA.
No comments:
Post a Comment