Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, October 8, 2013

VAA KANDAMBILI KAMPENI NA CHINGAONE BLOG


Kwa kugundua umuhimu wa Afya na matatizo yanayowakabili ndugu zetu walio magerezani (WAFUNGWA)


ChingaOne blog na marafiki zake wanakualika kwenye kampeni ya
VAA KANDAMBILIUkiwa kama Ndugu, Rafiki wa karibu na Jamaa wa Wafungwa au ChingaOne blog
tunaomba mchango wako katika kampeni hii


Tunaomba msaada wa pea kuanzia moja ya Kandambili ili iweze kuwasaidia ndugu zetu
leo na kesho


Changia sasa! Changia leo!
kwani Afya ni haki ya kila mtu


kwa maelezo kuhusu kuchangia Kampeni hii tuandikie kwa barua pepe
chingaone @gmail.com
au piga simu kwa No.
0712221744
0787221744
0754798920


Afya ni haki ya watu wote
Nunua kandambili leo

Kwa kuona Kampeni imefikia wapi fungua hapa - VAA KANDAMBILI KAMPENI


Asanteni Sana!

Jennifer Livigha
Founder & Team Leader
www.chingaone.com

chingaone@gmail.com
0712221744, 0787221744, 0754798920

No comments:

Post a Comment