Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, November 15, 2013

CLUB ZERO INAKULETEA KUNDI LA KANGA MOJA NDEMBENDEMBE SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 17 NOVEMBA 2013

 Je Wewe ni mkazi wa Moshi na unajiuliza weekend hii ukaburudike wapi?? Jibu lipo hapa "Club Zero" iliyopo maeneo ya kiboriloni inakufahamisha wewe mkazi wa Moshi na wale woote walio kwenye  viunga vya mji wa Moshi kuwa tarehe 17 Novemba 2013 siku ya Jumapili palee "Club Zero" watakuwepo Kundi la "Kanga Moja Ndebendebe" kukuburudisha, huku ukipata Nyama choma, Mchemsho, Spanish Chips, Shisha zenye Flava tofauti tofauti na bila kusahau Vinywaji bariiidi vitakuwepo na vitauzwa kwa bei ya kawaida. 
Njoo uhudumiwe na wahudumu wastaarabu na wenye viwango na wanao fahamu jinsi ya kumhudumia mteja.
Wakati huo Wooote utakuwa ukiburudika na muziki lainiii kutoka kwa ma DJ wazoefu wakiongozwa na DJ Virus.
 
Njooo Wewe, Njoo na umpendae. 
Mimi nitakuwepo "Club Zero" wewe Je?
Muhabarishe na mwenzio tuungane pamoja "Club Zero"

No comments:

Post a Comment