Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, December 21, 2013

RICH MAVOCO NA KHANGA MOKO NDANI YA UKUMBI WA AVENTURE MJINI MOSHI TAREHE 25 DECEMBER 2013


Kama wewe ni mkazi wa Moshi au ni mgeni katika mji wa Moshi na ulikuwa unajiuliza mahali pa kwenda kuifurahia sikukuu ya X-MASS ukiwa na ndugu, jamaa na marafiki jibu ni Aventure Africa iliyopo majengo karibu na kituo cha hiace (daladala) zinazoelekea kiboriloni, kwa kiingilio cha elfu kumi tu (10,000/=)

"Mjini Msingi kiuno, Ukishatendwa ndo baibai.." Rich Mavoco.....
 

No comments:

Post a Comment