Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, March 16, 2014

PHIJEMA VIDEO PRODUCTION WATUNUKIWA CHETI CHA UDHAMINI WA MBIO ZA MAGARI NA KMSC

Hiki ndio cheti walichotunukiwa Phijema Video Production.

Director wa Phijema Video Production Julius Yesaya akitunukiwa cheti cha udhamini wa mbio za magari na Faheem.  

Julius na wajina wakifurahi baada ya kutunukiwa cheti.

Waandhishi wa habari wakimhoji mshindi wa kwanza wa mashindano ya magari yaliyoandaliwa na Chama cha Mbio za Magari kijlimanjaro KMSC
 
 
 Vikombe vikiwa mezani tayari kwa kuwakabidhi washindi.

 Mshindi wa kwanza Gurjit Dhani akiwa na msoma ramani wake Shameer Yusuf.

Mshindi wa pili Gurpal Sandhu  akiwa na msoma ramani wake Absalom Aswani.

Mshindi wa tatu Rajpal Dhani akiwa na msoma ramani wake Surinder Sudle.

 Hii ni team nzima ya Phijema Video Production ikiwa imeshikilia camera tayari kuchukua matukio muhimu.

 Julius Yesaya akiwa na Babi D'e Conscious.
 
Phijema Video Production ni wataalamu wa kutengeneza documentary mbalimbali, wanafanya shooting za video kwenye matukio mbalimbali kama vile matamasha makubwa ya muziki, mashindano ya magari, harusi, sendoff na mengine mengi, Wamekuwa wakiifanya kazi hizo kwa umahiri na kwa ubora wa hali ya juu ambapo imewajengea sifa nyingi na uaminifu mkubwa kwenye makampuni na kwa watu binafsi. Pia wamekuwa wakidhamini mashindano mbalimbalia kama vile miss Moshi, miss Kilimanjaro na mbio za magari. 

Phijema Video Production chini ya director wake Julius Yesaya leo hii wametunukiwa cheti cha udhamini wa mashindano ya mbio za magari, ambapo mashindano hayo ya mbio za magari yaliandaliwa na Chama cha Mbio za Magari kijlimanjaro KMSC  yaliyoweza kuhudhuriwa na watu mbalimbali kutoka katika mikoa ya Tanzania na nje ya Tanzania. Haya ni majina ya washiriki wa mbio za magari zilizoandaliwa na Chama cha Mbio za Magari kijlimanjaro KMSC:-
    1. Gerrard Miller/Peter Fox
2. Gurjit Dhani/Shameer Yusuf
3. Amarjeet Dhillon/Dave Sihoka
4. Rajpal Dhani/Surinder Sudle

5. Jayant Shah/Ravi Chana
6. Salvatory Mcharo/Victor Jackson
7. Gurpal Sandhu/Absalom Aswani
8. Manmohan Agarwal/Vivek Agarwal
9. Louis Bonzon Ahmed Aslam
10. Frank Taylor/Mahmood Jaffer
11. Hassan Ibrahim (Mdabi)/Ahmed Hussein
12. Mohamed Salum (Digala)/Aron John
13. Shafin Khan/Moses Matovu.

Lakini waliofanikiwa kumaliza na kukabidhiwa zawadi ni washiriki tisa tu wakiwa na wasoma ramani wao. Haya hapa majina ya washiriki tisa na dakika walizotumia:-
1. Gurjit Dhani/Shameer Yusuf  71.38
2. Gurpal Sandhu
/Absalom Aswani  80.19
3. Rajpal Dhani
/Surinder Sudle  82.25
4. Amarjeet Dhillon
/Dave Sihoka  87.23
5. Jayant Shah
/Ravi Chana  89.19
6. Manmohan Agarwal
/Vivek Agarwal  104.04
7. Mohamed Salum
(Digala)/Aron John  112.03
8. Hassan Ibrahim
(Mdabi)/Ahmed Hussein  150.30
9. Frank Taylor
/Mahmood Jaffer  169.30

Kwa yeyote mwenye kuhitaji huduma kutoka kwa Phijema Video Production anaweza kupiga namba hizi hapa +255(0) 784 320 607 na atapa maelekezo zaidi. 

No comments:

Post a Comment