Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, March 15, 2014

PICHA ZA JAMBO SQUARD, JOH MAKINI NA DIAMOND KWENYE TAMASHA LA COCACOLA MOSHI


 Nigga C wa Jambo Squard akipanda jukwaani.

B12 akishuka jukwaani kuwapisha Jambo Squard.

 Diamond akiwa chini ya ulinzi wa baunsa wake.

 Jambo squard wakitoa burudani ya ukweli.

Tamasha halikuwa na ubaguzi wa umri wala rangi.
 
B12 akiwarushiwa mashabiki Tisheti ya cocacola.
 
Joh Makini kutoka weusi kampuni akipanda jukwaani.

Joh Makini akisema na mashabiki wake.
 Joh akishangaa umati mkubwa uliokuwa ukimshangilia kwa kuimba WEUSI, WEUSI, WEUSI.
 Joh Makini akiwaaga mashabiki wake.
 
Diamond akipanda jukwaani.
 
 Diamond aliamua kushuka chini ili kuweza kusalimiana na mashabiki wake.

 Diamond akirudi jukwaani baada ya kuwasalimia mashabik wake kwa kuwashika mkono.
 
 Diamond akiendelea kuwapagawisha mashabiki wake.
  
Diamond akipigawisha kwa kupiga sarakasi jukwaani.

 Gafla flat kumbe ilikuwa ni style ya kuzidi kupagawisha umati
 
Watu walishindwa kuzuia furaha zao na kujikuta wameangukiana na kusababisha baadhi ya mashabiki kuumia.
  
 Shabiki aliyezimia uwanjani na kupatiwa huduma ya kwanza

 Diamond alipandwa na mzuka na kuamua kuvua tisheti.

   Shabiki wa Diamond na yeye akaamua kuvua tisheti.

Huyu nae aliamua kuja na dress code yake ya kipekee.

Watu wakamkubali na kuanza kupiga nae picha.

Watu wangu wa ukweli pia walikuwepo na wali show love sana.

No comments:

Post a Comment