Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, March 24, 2014

WAMILIKI WA MAGARI YA ABIRIA MKOANI KILIMANJARO WAGOMA KUTOA HUDUMA

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendayo maeneo hayo kugoma kutoa huduma kutokana na kile kinachodaiwa ni faini wanazotozwa na askari wa barabarani.



Ndipo askari walipoamua kuingilia kati na kuzuia mchezo huo uliokuwa hauna waamuzi wala milingoti ya kufunga magoli.


Ulinzi ukaimarishwa zaidi.





Baadhi ya makondakta na madereva wa magari hayo wakatiwa mikononi.




Hata hivyo hatua ya kukamatwa kwa madereva na makundakta kiliwatia hasira wapiga debe wakaamua kulipopoa gari la polisi kwa mawe na kuvunja kioo cha nyuma kama inavyoonekana hapa.

Abiria walilazimika kupanda gari la kusafirisha magazeti. 

Credit: dixon busagaga

No comments:

Post a Comment