Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, April 10, 2014

HUU NI USHAHIDI TOSHA KUWA YANGA ITACHEZA NA PANONE FC TAREHE 15 APRIL 2014 MJINI MOSHI

Hii ni barua iliyotoka kwa club ya YANGA kujibu barua ya Panone and Company Ltd.  kwa kukubali kucheza mechi ya kirafiki na mabingwa wa mkoa wa Kilimanjaro katika ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa, Panone FC ya mjini Moshi, siku ya tarehe 15 April 2014 katika uwanja wa Ushirika.

No comments:

Post a Comment