Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, April 25, 2014

KAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA MCHEZO WA KARETE POLISI-KILIMANJARO

Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz akimvisha medali asakari Dominick Mafuru mmoja wa washindi wa mashindano ya mchezo wa Karate yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi,Kabelwa Ferdinando(katikati) na Wembo Ailala.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi mkoa wa Kilimanjaro
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Robert Boaz akimkabidhi kikombe kiongozi wa timu ya Polisi-Kilimanjaro ya mchezo wa Karate mara baada ya kufanikiwa kushinda katika mashindano ya mchezo huo yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.

Na Dixon Busagaga

No comments:

Post a Comment