Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, April 5, 2014

MKAZI WA MAJENGO MJINI MOSHI AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MBWA CHUMBANI KWAKE

MOSHI katika hali ya kushangaza wengi mkazi wa kata ya Majengo, manispaa ya Moshi mjini, mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa katika chumba chake.

Kamanda wa polisi mkoni Kilimanjaro, Robert Boaz, alitaja jina la mtu huyo (jina tunalihifadhi), akisema anadaiwa kukutwa akifanya kitendo hicho usiku wa kuamkia jana tarehe 4/04/2014 kwenye chumba chake.

Kamanda Boaz alisema majirani zake, ndiyo walishuhudia na kutoa taarifa polisi. Mtuhumiwa anadaiwa kukimbia kusikojulikana.

Mbwa huyo anamilikiwa na mtoto wa mtuhumiwa. Kwa mujibu wa kamanda, mtuhumiwa ana familia ya wake watatu. Polisi inamtafuta mbwa husika kumfanyia uchunguzi.

Akizungumza na mtandao huu, Daktari wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC, alisema "mtu huyo anayetuhumiwa kufanya mapenzi na mbwa, anahitajika kufanyiwa vipimo, kubaini kama yuko sawa."

aliongeza kwa kusema "Kwa kawaida sio jambo la kawaida, anaweza kuathirika kisaikolojia na jamii kumchukulia mtu wa tofauti kama amelaaniwa au ni kichaa, pengine anahitajika kufanyiwa vipimo kuonekana kama yupo sawa."

No comments:

Post a Comment