Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, April 3, 2014

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA PROFESA JAY ft.. NA DIAMOND-KIPI SIJASIKIA

Salaam, Natumai wote mu wazima kwa uwezo wa Mungu, napenda kutumia fursa hii, kuweza ku release Wimbo wa kaka mkubwa ambaye ni mmoja wa waasisi wa harakati za muziki wa Hip Hop Tanzania PROFESA JAY akimshirikisha Diamond Platinum wimbo unakwenda kwa jina la "KIPI SIJASIKIA"

Unaweza kuisikiliza au ku download hapa chini: 

No comments:

Post a Comment