Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, September 14, 2014

Picha za tamasha la CHUGA LIVE SHOW - "PINGA MADAWA YA KULEVYA"

Majembe ambao ni Fido Vato na Bou Nako wakiwa kwa stage.

Wadudu wa Dammpo wakiwa jukwaani.

Daz Knoledge kutoka watengwa record (kulia) akiwa na washkaji wakifuatilia kwa makini tamasha.

Wazalendo Crew wakitoa butudani.

Man side msanii aliyeimba kwa hisia na kuonesha uwezo mkubwa sana mpaka uongozi wa MJ radio kuamua kumpa nafasi ya kumpeleka studio kurekodi audio na video ya wimbo wake.

Mafaya fanya kwenye stage sasa.


Side akifanya tantwister ya hatari sana.


Watundu Squard.


 Show inaendelea kupamba moto.

Fido vato wa Vatoloco solders akiwa na mbwa wake kwenye stage.


Bou Nako mkali wa wa nyimbo kama High na Low, Mara hoo, Nimejaa sumu, Habari zimeenea na nyingine nyingi.


Majembe ya kaskazini wakivamia stage kwa hasira kali sana.

Jamaa anatokea kijenge juu ndani ya Watengwa record na ni jamaa mwenye majina mengi sana, Lomayani, Chindo man, Mbwa mzee, Jombii na mengine mengi.

Zamu ya Jambo Squad kupanda jukwaani ikawadia.

 Aslam nae alikuwepo kwenye uwanja wa Sheik Amri Adeid kushuhudia show.Kwenye show kubwa kama hii na hususani Arusha huwezi kukosa dress code za old skul.

No comments:

Post a Comment