Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, October 6, 2014

Nafasi ya wasanii wanaohitaji kushiriki tamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania nchini Ujerumani kujiandikisha

 
Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani 8 November 2014

Wasanii wanaotakao jitaji kushiriki katika tamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania na Afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini Kolon Ujermani, siku ya tarehe 8 November 2014, mnaombwa mjiandikishe kwa kuwasiliana katika namba ya simu  +49(0)15778645623.

Tamasha hili linania ya kutangaza sanaa za maonesho za Tanzania nchini ujerumani, wasanii wa ngoma za asili, Sarakasi, Maigizo, Muziki na sanaa nyingine za zote,  mnakaribishwa kujiandikisha ili kupata nafasi ya kushiriki Tamasha hilo.
 
Wasanii mnaombwa mtumie nafasi hii kuonesha vipaji vyenu katika uwanja wa kimataifa ili kujitangaza zaidi katika soko la kimataifa.

No comments:

Post a Comment