Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, January 31, 2015

Diwani wa akanusha uvumi kuwa CHADEMA ndio wanatengeneza barabara za wilayani Hai

KILIMANJARO diwani wa Kata ya masama magharibi wilayani hai mkoani kilimanjaro amesifa serikali kwa kutekeleza ahadi zake za  kutengeneza barabara  katika kata hiyo na wilaya kwa ujumla

Haya aliyasema jana na diwani huyo wakati akizungumza na wananchi waaandishi wa habari ofisini mara baada ya kutembelee na kuona barabara zikiwa katika hali nzuri katika kata hiyo  katika sehemu nyingine ya wilaya hiyo,

Pia amekanusha uvumi unaoenezwa na baadhi ya watu na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuwa barabara hizo zinajenwa na chama cha maendeleo [CHADEMA]

Amesema kuwa kuna baadhi ya watu anapita  kwa wananchi na kueneza kuwa barabara hizo zinajengwa na chama cha chadema jambo ambalo sio la kweli, na kwamba serikali iliyopo madarakani inayousika na ujenzi wa barabara hizo

Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya hai Novatus Makunga alisema kuwa serikali ya wilaya hiyo tayari imeshaanza ukarabati kwa awamu ya pili ya matenenezo ya barabara wilayani humo kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 na kwamba ukarabati huo ni pamoja na ujenzi wa makalavati

Makunga alisema ukarabati unaendelea kwa sasa kwa waliofuatilia taarifa hiyo ni ile uliopangwa kufanyika kati ya januari hadi machi mwaka jana,ambao unahusisha barabara za hai mjini,zenye jumla ya kimometa kumi na mbili

Alisema mwaka huu wa fedha serikali kupitia mfuko wa barabara imeitengea halmashauri ya wilaya  hai kiasi cha shilingi bilioni 1.2 alisema makunga

No comments:

Post a Comment