Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, March 4, 2015

Ras Kenoo ndani ya studio za Radio five Arusha akielezea tamasha la Nishike Mkono


Kenoo akiwa ndani ya studio za Radio five Arusha.

Watangazaji wanaofanya kipindi cha mishemishe ndani ya studio za Radio five Arusha, aliyekaa ni Mwangaza Jumanne, Dj Ibra, Hilda Kinabo, Mwanaisha Suleiman wakiwa na Kenoo.

Tonnie Kaisoi akiwa na Semio Sonyo.

Happiness Peter akiwa mapokezi kwaajili ya kuwakaribisha wageni na pia kufanya shuhuli nyingine za kiofisi.

Kenoo akiwa nje ya studio za Radio five Arusha.

No comments:

Post a Comment