Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, April 7, 2015

Shuhudia Picha za tamasha la pasaka lililopewa jina la Easter Bash Arusha

Lord Eyz akiwa jukwaani na mdogo wake anayefahamika kwa jina la Jack.


Lord Eyez akiwadhibitishia mashabiki wake kuwa Hip Hop ndio asili yake na wala hawezi kuiacha.


Lord Eyz kazini.


Lord Eyz na Bou Nako wakiwadhibitishia mashabiki wao kuwa kundi la Nako2Nako haijafa na wala haiwezi kufa.
 


 Bou Nako kwa stage.


Fido Vato na bizz za machizi.


Bou Nako na Fido Vato wakiwakilisha majembe ya kaskazini.
Fido Vato, Ricky Vato na Bou Nako.

 Spack Dawg na Boox, from Kid Can Kill. Mashabiki.
 
Wadau wa Hip Hop.


Mashabiki waliokuwa wamefurika uwanjani kushuhudia show.

No comments:

Post a Comment