Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, May 6, 2015

Nigga C wa Jambo squad "Mamong'o" afanikiwa kupata mtoto

Nigga C akiwa akiwa amempakata mtoto wake na kwa mbaali anaonekana mke wake aiwa amelala.

Kundi la Bongo HipHop toka kaskazini mwa Tanzania wanayo furaha kuwafahamisha mashabiki wao kuwa member wa kundi hilo anafahamika kama Nigga C na mke wake, wamebarikiwa kupata Mtoto wa kike.

Mtoto huyo alizaliwa tarehe 3 May, 2015 katika hospitali ya Mt. Meru Arusha. Mama na mtoto wana wanaendelea vizuri na wana afya njema.

No comments:

Post a Comment